Hata hivyo Dully atasindikizwa na huyo mnayemuona hapo juu Untouchable ambaye hivi sasa anatamba na wimbo wake mpya 'BINADAMU' aliomshirikisha Kassim, umetengenezwa AM Record chini ya Producer Maneky. Wasanii wengine watakaokuwepo ni Bab Lee, Omega Boys pamoja na Dula wa Michano.Anko Mo Blogspot itakuwepo pande hizo na itakuletea mpango mzima wa picha zote na VIJIMAMBO VYAKE


No comments:
Post a Comment