
Kwa mujibu wa mratibu wa onyesho hilo Ally Mohammed (Bra A) amesema kuwa, siku hiyo kutakuwa na wasanii kibao watakaopiga show wakiwemo Omega Boys, Dula Wa Michano, Bab Lee, Untouchable na wengine kibao. Hivyo anawataka mashabiki na wapenzi wa muziki waweze kufika kunako pande hizo. Kiingilio ni 3000/= tu.
Kwa upande mwengine Bra A amesema kuwa, Dully atapiga live ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la Tapa Tapa.
No comments:
Post a Comment