BLOG HII IMEDHAMINIWA NA: MWEKASU HOSTEL, PWEZA NIGHT CLUB TANGA, SOPHIA PRODUCTION, AFRICAN DESIGN, BREEZE FM, PANGANI COAST CULTURAL TOURISIM PROGRAMME, NA SAFARI LODGE ANNEX
Photobucket

Monday, March 1, 2010

DULLY SYKES ALIVYOKAMUA IBIZA NIGHT CLUB CASSINO!

Dully akiwa na mwanadada Saumu pamoja na Untouchable, kabla show haijaanza! Just ku'show love kwa wana waliofika kunako Ibiza Night Club Cassino jijini Tanga.

Baadhi ya eneo la ndani la Ibiza Club, jamaa akiwa anajisevia kinywaji hapo kaunta! Ukimbi ni under ground jamani.

J Coplo wa Omega Boys akiwasha moto kwenye stage, alikuwa pamoja na Kochas! Omega Boys alipiga bonge la show wadau

Untouchable akiwa na Saumu nyuma ya stage kabla hajapiga show! Mshkaji sasa anatamba na ngoma yake ya Binadamu aliyomshirikisha Kassim.

Bra A ambaye alikjuwa Mc wa show, akiwa na Kochas wa Omega Boys nyuma ya stage. One Love Man!!!

Watu wakijiachia kwenye stage wakati untouchable akipiga show!

One Love Untouchable!! mshkaji alikaumua vilivyo.....kama hukufika pande hizo pole mdau hahaha!

Producer wa Mwambao Record anaitwa Aron alikuwepo jamani.

Dully alipiga show mwnzo mwisho! Tazama watu wanavyojiachia...

Flowers walikuwepo jamani...ilikuwa ni history Ibiza Night Club!

Upande wa juu wa Club....show iliandaliwa na Tinga La Tanga Music Advanced 2010, ikidhaminiwa na Omega Pamba Shop pamoja na Anko Mo Blogspot.


No comments:

Post a Comment