
Anaitwa Abdul Kitauro Swalehe ni mtanzania anayetokea jijini Tanga ambaye kwa sasa yupo United Arab Emirates huko Dubai akisaka mahela

Anawasabahi watanga wenzake ambao walikuwa maskani moja pale pande za Toss karibu na kituo cha sigara...akina Khaledee na wengine kibao.
No comments:
Post a Comment