BLOG HII IMEDHAMINIWA NA: MWEKASU HOSTEL, PWEZA NIGHT CLUB TANGA, SOPHIA PRODUCTION, AFRICAN DESIGN, BREEZE FM, PANGANI COAST CULTURAL TOURISIM PROGRAMME, NA SAFARI LODGE ANNEX
Photobucket

Monday, March 8, 2010

SASA NI 'BPM MASTER'- DJ BOB NASS

Dj wa Breeze Fm Radio ya jijini Tanga Nass Thabit maarufu kama Dj Bob Nass, amepata a.k.a mpya ya BMP MASTER kutokana na umahiri wake wa kugonga ngoma za ukweli awapo studio. Mshikaji huyo ameiambia VIJIMAMBO VYA TANGA kuwa jina hilo amepata hivi karibuni baada ya mashabiki wake kuonekana kumkubali kwa sana.

Hata hivyo kwa upande mwengine Dj huyo ameweka bayana nia yake ya kutaka kufungua studio ya kurekodia nyimbo kunako mwezi wa saba kwa ajili ya kukomboa game ya muziki wa bogno flava mkoani Tanga, amedai kuwa kwa sasa anajipanga zaidi ili kufanikisha hilo.

No comments:

Post a Comment