BLOG HII IMEDHAMINIWA NA: MWEKASU HOSTEL, PWEZA NIGHT CLUB TANGA, SOPHIA PRODUCTION, AFRICAN DESIGN, BREEZE FM, PANGANI COAST CULTURAL TOURISIM PROGRAMME, NA SAFARI LODGE ANNEX
Photobucket

Friday, March 19, 2010

MITAA YA TANGA TOWN LEO MCHANA!

Maeneo ya Tanga town, hapa ni karibu ya ofisi za ttcl pamoja na Darworth.

Benki ya Baclays Tanga City, pembeni ni benki ya Exim. Hapa ni karibu na Bandari House.

Upande wa kulia ni ofisi za Bima, na hii barabara inaelekea hadi ofosi za Halmashauri.

Huku ni maeneo ya Chuda, ila hii barabara inakwenda hadi barabara ya nane karibu na kiwanja cha Tangamano.

Hapa ni karibu ya Tanesco. Makutano ya magari yote yanayobeba abiria wanaokwenda Raskazone baharini.

No comments:

Post a Comment