BLOG HII IMEDHAMINIWA NA: MWEKASU HOSTEL, PWEZA NIGHT CLUB TANGA, SOPHIA PRODUCTION, AFRICAN DESIGN, BREEZE FM, PANGANI COAST CULTURAL TOURISIM PROGRAMME, NA SAFARI LODGE ANNEX
Photobucket

Tuesday, March 2, 2010

MITAA YA TANGA TOWN LEO ASUBUHI!

Hapa mitaa ya katikati ya jiji la Tanga, hapo mbele kuna yadi ya magari. Tanga jiji jamani....hahaha

Hapo mbele kushotoni ofisi za Dar Worth pamoja na ttcl. Makutano ya barabara kutokea Four Ways na barabara ya kuelekea Bandari House

Hii ni Taifa Road, maeneo ya stebdi kuu ya mabasi ya mikoani. Tanga baiskeli kibao jamani wadau..
Hili jengo lipo karibu na ofisi za Tanesco. Daladala zote hupita eneo hili ili kufika Raskazone.

No comments:

Post a Comment