BLOG HII IMEDHAMINIWA NA: MWEKASU HOSTEL, PWEZA NIGHT CLUB TANGA, SOPHIA PRODUCTION, AFRICAN DESIGN, BREEZE FM, PANGANI COAST CULTURAL TOURISIM PROGRAMME, NA SAFARI LODGE ANNEX

Tuesday, March 16, 2010

ROMA ATAJWA TUZO ZA TEEN EXTRA AWARD 2010!

Msanii kutoka Tanga City Rymes Of Magic Attraction (ROMA) ametajwa kwenye tuzo za Teen Extra Awards 2010 zinazoendeshwa na kituo cha redio Clouds Fm cha jijini Dar Es Salaam.

Roma ametajwa kwenye category ya 15. Lyricist Of The Year ambapo anachuana na wasanii wengine kama Fid Q, Niki Wa Pili, Ngwea, Joh Makini, Jay Moh na G Nako.

I know Tanga tunaweza na ROMA ndie msanii pekee anayestahili kuwa Lyricist wa mwaka kutokana na tungo za ukweli zinazopatikana kwenye ngoma zake zote!

Unachotakiwa kufanya ni kufungua hii website http://www.nipe5.com Utakapoifungua angalia mkono wako wa kushoto kuna sehemu imeandikwa Teen Extra Award hapo utabonyeza kwa ajili ya kuona washiriki wote halafu utaingia kipengele cha 15. Lyricist Of The Year na hapo utabonyeza jina la ROMA.

Make it happen kama wewe ni fan wa ukweli wa ROMA kutokea Tanga City! Kumpigia kura Roma bonyeza hapa

No comments:

Post a Comment