BLOG HII IMEDHAMINIWA NA: MWEKASU HOSTEL, PWEZA NIGHT CLUB TANGA, SOPHIA PRODUCTION, AFRICAN DESIGN, BREEZE FM, PANGANI COAST CULTURAL TOURISIM PROGRAMME, NA SAFARI LODGE ANNEX

Thursday, November 25, 2010

BELLE 9 NDANI YA CLUB LACASA CHICA IJUMAA HII!!

Msanii mahiri wa kizazi kipya nchini Belle 9 anatarajiwa kufanya onyesho siku ya kesho kunako La Club LaCasa Chica jijini Tanga katika harakati za kuelekea sikukuu ya Uhuru. Akizungumza na Blog hii mmoja wa waandaji wa onyesho hilo Dj RogerKiss amesema kuwa, wameamua kumleta msanii huyo ili kukonga nyoyo za mashabiki wanaopenda kujivinjari katika Club hiyo ya kisasaBelle 9 hadi sasa anatamba na nyimbo zake kama 'Sumu Ya Penzi', 'Masogange', pamoja na 'We Ni wangu'

No comments:

Post a Comment