BLOG HII IMEDHAMINIWA NA: MWEKASU HOSTEL, PWEZA NIGHT CLUB TANGA, SOPHIA PRODUCTION, AFRICAN DESIGN, BREEZE FM, PANGANI COAST CULTURAL TOURISIM PROGRAMME, NA SAFARI LODGE ANNEX

Monday, November 8, 2010

OFFSIDE TRICK, SAM WA UKWELI NA DR LEADER WALIVYOPAGAWISHA TANGA!!

Kundi zima la Offside Trick kutoka Zanzibar likishambulia jukwaa, punde tu walipoitwa kuja kutoa burudani kunako La Club Lacasa Chica. Huyo dada aneyeonekana katika picha aliwaacha watu huo kwa viuno. Show hiyo pia iliwajumuisha wasanii wengine kama Sam Wa Ukweli ambaye hivi sasa anatamba na wimbo wake 'Sina Raha' pamoja na Dr Leader ambaye anatamba na wimbo wake 'Macho Kodo'

Mudacriss wa Offside Trick akitoa burudani.

Dj Bob Nass wa Breeze Fm Radio akiwa na msanii wa Bongo Flava kutokea Tanga, anajulikana kama Man Sasha!!

Mtangazaji wa radio Breeze Fm ya jijini Tanga Amir Salim a.k.a Amirado kupitia kipindi cha Track To Track ndio alikuwa msema chochote (MC)......"Oyaa show ndio inaanza sasa!!" kama ndio anasema vile.

Msanii nguli wa muziki wa bongo flava kutoka Tanga Khaledee!! Nae alikuwepo

Hi hi hi hi!! Jamaa ana mikwara huyu!! Tazama alivyokunja swala- Brother vipi mbona kama una majonzi!!?? Anaitwa Benson, ni mtangazaji wa Breeze Fm Radio Tanga.

Offside Trick wakifanya Interview ndani ya redio Breeze, mchana kabla ya show!

Sam Wa Ukweli nae akifanya Interview.

Dr Leader na Sam Wa Ukweli...........Dr Leader alipiga show ya uweli kunako La Club Lacasa Chica.

Dj Rogerkiss aliyevaa shati la kijani na mtangazaji wa kipindi cha Track To Track, Amirado. Wakati wa Interview na wasanii

Dr Leader, Dj Bob Nass, Dj Rogerkiss pamoja na Sam Wa Ukweli ndani ya Breeze Fm Radio.

No comments:

Post a Comment