BLOG HII IMEDHAMINIWA NA: MWEKASU HOSTEL, PWEZA NIGHT CLUB TANGA, SOPHIA PRODUCTION, AFRICAN DESIGN, BREEZE FM, PANGANI COAST CULTURAL TOURISIM PROGRAMME, NA SAFARI LODGE ANNEX

Tuesday, November 2, 2010

BREAKING NEWS!! JANUARY MAKAMBA AFANYA KWELI BUMBULI!!

Habari zilizoifikia Blog hivi punde ni kwamba mgombea Ubunge wa chama cha mapinduzi (CCM) jimbo la Bumbuli mkoni Tanga January Makamba amelinyakua jimbo hilo kwa kishindo.

No comments:

Post a Comment