BLOG HII IMEDHAMINIWA NA: MWEKASU HOSTEL, PWEZA NIGHT CLUB TANGA, SOPHIA PRODUCTION, AFRICAN DESIGN, BREEZE FM, PANGANI COAST CULTURAL TOURISIM PROGRAMME, NA SAFARI LODGE ANNEX

Monday, November 1, 2010

SALEHE PAMBA WA CCM KINARA UBUNGE JIMBO LA PANGANI!!

Salehe Pamba aliyeshika kipaza sauti, akiwa katika uso wa furaha sanjari na mke wake Mama Pamba- punde tu baada ya mgombea huyo wa CCM kupata matokeo ya Ubunge jimbo la Pangani, ambapo aliibuka na ushindi wa kura 9342.

Pamba akiwa na mgombea mwenzake wa chama cha wananchi CUF Omary Ally Mohammed wakati wakisubiri kutajwa kwa matokeo kutoka kwa msimamizi wa uchaguzi jimbo la Pangani Bwana Rashidi Neneka, kama anavyoonekana nyuma wagombea. Omary alipata kura 4521 huku akifuatiwa na Mzee Omary Abdallah wa CHADEMA kwa kura 1222.

Wanachama wa CCM wakiwa katika ofisi hiyo wilayani Pangani wakishangilia ushindi wa mgombea wao wa Ubunge Salehe Pamba.

No comments:

Post a Comment