BLOG HII IMEDHAMINIWA NA: MWEKASU HOSTEL, PWEZA NIGHT CLUB TANGA, SOPHIA PRODUCTION, AFRICAN DESIGN, BREEZE FM, PANGANI COAST CULTURAL TOURISIM PROGRAMME, NA SAFARI LODGE ANNEX

Monday, November 8, 2010

MZEE YUSUFU YUPO PANGANI LEO!!

Habari zilizotufikia hivi sasa ni kwamba, yule gwiji wa muziki wa Taarab nchini Mzee Yusufu yupo Pangani leo katika kufanya onyesho la aina yake. Mzee Yusufu yupo wilayani humo sambamba na kundi lake la Jahazi Modern Taarab katika kukonga nyoyo za mashabiki wao. Jahazi watafanya onyesho la bure kunako uwanja wa Boma.

No comments:

Post a Comment