BLOG HII IMEDHAMINIWA NA: MWEKASU HOSTEL, PWEZA NIGHT CLUB TANGA, SOPHIA PRODUCTION, AFRICAN DESIGN, BREEZE FM, PANGANI COAST CULTURAL TOURISIM PROGRAMME, NA SAFARI LODGE ANNEX

Wednesday, November 3, 2010

SAM WA UKWELI YUPO TANGA WIKIEND HII!!

Msanii wa Bongo Flava nchini Sam wa Ukweli aliyevaa fulana nyekundu akiwa na Dj wa Breeze Fm Radio ya jijini Tanga Nasri Thabit a.k.a Bob Nas. Sam anatarajiwa kufanya show Jumamosi ya wikiendi hii tarehe 6/11/2010 kunako La Club La Casa Chica sambamba na Offside Trick huku Dr Leader wa Tanga akitupiwa hapo kati.


No comments:

Post a Comment