BLOG HII IMEDHAMINIWA NA: MWEKASU HOSTEL, PWEZA NIGHT CLUB TANGA, SOPHIA PRODUCTION, AFRICAN DESIGN, BREEZE FM, PANGANI COAST CULTURAL TOURISIM PROGRAMME, NA SAFARI LODGE ANNEX

Tuesday, November 2, 2010

TAARIFA MUHIMU YA MATOKEO YA JIMBO LA TANGA MJINI!!

Kumradhi kwa wale wote wanaoendelea kunitumia E-mail pamoja na kunipigia simu kutaka kujua matokeo ya jimbo la Tanga Mjini. Ni kwamba hadi kufikia jana saa sita usiku matokeo yalikuwa bado hayajatolewa.....msimamizi wa uchaguzi kwa jimbo hilo Bwana John Gikene alidai kusahaulika kwa fomu moja katika kata ya Chongoleani. Hivyo hadi sasa bado watu wanasubiri pamoja na kutokea na vurugu za hapa na pale. Wanaochuana vikali katika jimbo la Tanga Mjini ni Musa Mbaruku wa (CUF) na Omary Nundu wa (CCM)

No comments:

Post a Comment