BLOG HII IMEDHAMINIWA NA: MWEKASU HOSTEL, PWEZA NIGHT CLUB TANGA, SOPHIA PRODUCTION, AFRICAN DESIGN, BREEZE FM, PANGANI COAST CULTURAL TOURISIM PROGRAMME, NA SAFARI LODGE ANNEX

Tuesday, November 2, 2010

CCM YAZIDI KUITEKA TANGA- KIGODA NAE APETA UBUNGE HANDENI!!!

Mh. Abdallah Kigoda wa CCM hatimae ameibuka kidedea kunako jimbo la Handeni baada ya kuwabwaga wenzake wengine wawili wa chama cha CHADEMA na CUF. Matokeo ya wagombea hao ni kama yafuatavyo:

Abdallah Kigoda (CCM) kura- 31,497
Salehe Bweto (CHADEMA) kura- 5,907
Aidano Shundi (CUF) kura- 4,947

Hata hivyo katika upande wa madiwani, chama cha mapinduzi CCM iliweza kuchukua kata zote 23 za jimbo la Handeni.

No comments:

Post a Comment