BLOG HII IMEDHAMINIWA NA: MWEKASU HOSTEL, PWEZA NIGHT CLUB TANGA, SOPHIA PRODUCTION, AFRICAN DESIGN, BREEZE FM, PANGANI COAST CULTURAL TOURISIM PROGRAMME, NA SAFARI LODGE ANNEX

Monday, November 29, 2010

TANGA LEO MCHANA!!

Eneo la barabara ya nane njia ya kuelekea Chuda

Stendi ya daladala...kuelekea stendi kuu ya mabasi ya mikoani. Mbele ni daladala ya Mikanjuni-Raskazoni.

Njia ya kuelekea Chuda....panapopatikana Hoteli ya Mtendele pamoja na Nyinda

Kituo cha kuweka mafuta- kipo karibu na stendi kuu ya mabasi ya mikoani.

1 comment:

  1. Tunapenda sana unapotoa picha za jiji letu la Tanga, safi safi sana unavyofanya siku nyingine please toa sehemu mbalimbali za Tanga na jinsi Tnaga ilivyokuwa kwa sasa na utalii wa tanga pia mfano hotel, mahospital nk keep going Anko MO, mdau wa Nje

    ReplyDelete