BLOG HII IMEDHAMINIWA NA: MWEKASU HOSTEL, PWEZA NIGHT CLUB TANGA, SOPHIA PRODUCTION, AFRICAN DESIGN, BREEZE FM, PANGANI COAST CULTURAL TOURISIM PROGRAMME, NA SAFARI LODGE ANNEX

Wednesday, November 3, 2010

MIJENGO YA TANGA TOWN!!!

Jengo la Bandari, moja kati ya jengo maarufu sana hapa jijini Tanga.

Jengo hili lipo sambamba na jengo la Club Lacasa Chica.

Jengo hili lipo Four Ways

Jengo hili nalo lipo karibu na makutano ya barabara za Four Ways.

Lipo karibu na jengo la Tanesco Tanga.

No comments:

Post a Comment