BLOG HII IMEDHAMINIWA NA: MWEKASU HOSTEL, PWEZA NIGHT CLUB TANGA, SOPHIA PRODUCTION, AFRICAN DESIGN, BREEZE FM, PANGANI COAST CULTURAL TOURISIM PROGRAMME, NA SAFARI LODGE ANNEX

Monday, November 8, 2010

KOROGWE LEO ASUBUHI!!

Njia panda ya kuelekea Handeni

Karibu na kona ya Old Korogwe

Sheli maarufu ya uuzaji wa mafuta

White Parrot, hoteli maarufu wilayani Korogwe.

Hili ndilo gereza la Korogwe.

1 comment:

  1. Mshikaji Anko Mo, nikiwa mdau wako na ninayejua kiasi fulani sheria za nchi hii nakuonea huruma siku moja unaweza kukamatwa kwa kuelekeza kamera yako kwenye magereza, vituo vya polisi, jeshi na maeneo yaliyokatazwa kupigwa picha, yatakukuta kama mtu anayeitwa joseph senga. badilika au acha.

    ReplyDelete