BLOG HII IMEDHAMINIWA NA: MWEKASU HOSTEL, PWEZA NIGHT CLUB TANGA, SOPHIA PRODUCTION, AFRICAN DESIGN, BREEZE FM, PANGANI COAST CULTURAL TOURISIM PROGRAMME, NA SAFARI LODGE ANNEX

Wednesday, November 3, 2010

CCM YAITEKA LUSHOTO NA MUHEZA NAFASI ZA UBUNGE!!

Chama cha Mapinudizi CCM mkoa wa Tanga kimezidi kuonyesha ubabe dhidi ya wapinzani kwa kuendelea kuchukua majimbo mengine zaidi. Matokeo yaliyoifikia Blog hii muda si mrefu ni kutoka jimbo la Muheza na Lushoto, ambapo CCM imeyachukua majimbo yote.

LUSHOTO

Henry Shekifu (CCM) kura 17,783
Deogratius Pokisandu (CHADEMA) kura 1,934
Abass Mohammed (CUF) kura 2,088

MUHEZA

Herbert Mntangi (CCM) kura 34,836
Abubakar Rakeshi (CUF) kura5,938
Jumbe Salim (CHADEMA) kura 3,449
Mhina Peter (UMD) kura 144

Jimbo la Muheza lina jumla ya Kata 23 na CCM imechukua Kata zote.

No comments:

Post a Comment