BLOG HII IMEDHAMINIWA NA: MWEKASU HOSTEL, PWEZA NIGHT CLUB TANGA, SOPHIA PRODUCTION, AFRICAN DESIGN, BREEZE FM, PANGANI COAST CULTURAL TOURISIM PROGRAMME, NA SAFARI LODGE ANNEX

Tuesday, November 2, 2010

PROF. MAJI MAREFU AUKWAA UBUNGE KOROGWE VIJIJINI!!

Mgombea Ubunge Korogwe Vijijini kwa tiketi ya CCM Steven Ngonyani maarufu kama Maji Marefu ameibuka kidedea kwenye mchakato wa kumsaka Mbunge katika jimbo hilo na kufanikiwa kuwabwaga wenzake wawili kutoka upinzani.

Maji Marefu anakuwa Mbunge halali wa jimbo hilo kwa kupata jumla ya kura 41,377, Mohammed Siu wa CUF kura 3,233 huku Aron Mashuge wa CHADEMA akiwa na kura 2,570.

No comments:

Post a Comment