BLOG HII IMEDHAMINIWA NA: MWEKASU HOSTEL, PWEZA NIGHT CLUB TANGA, SOPHIA PRODUCTION, AFRICAN DESIGN, BREEZE FM, PANGANI COAST CULTURAL TOURISIM PROGRAMME, NA SAFARI LODGE ANNEX

Tuesday, November 9, 2010

SEGERA HIYO MZEEE!!!!! LEO MCHANA

Hii ndio njia panda ya Segera, eneo maarufu sana kwa makutano ya barabara kuu kuelekea mikoa kama Arusha na Kilimanjaro. Segara ipo katika mkoa wa Tanga. Hapa pia magari makubwa ya abiria husimama na abiria kununua mahitaji kwa wachuuzi wadogowadogo wa mahindi, machungwa, miwa, N.K!!

Ukifika eneo hili kutokea Dar es salaam...njia ya kuelekea kulia ni Tanga mjini na kushoto ni kuelekea Arusha kupitia Korogwe, Mombo na wilaya nyengine.

Machungwa available here!!!!

No comments:

Post a Comment