BLOG HII IMEDHAMINIWA NA: MWEKASU HOSTEL, PWEZA NIGHT CLUB TANGA, SOPHIA PRODUCTION, AFRICAN DESIGN, BREEZE FM, PANGANI COAST CULTURAL TOURISIM PROGRAMME, NA SAFARI LODGE ANNEX

Monday, November 1, 2010

CCM YAONGOZA UBUNGE JIMBO LA KOROGWE MJINI!!

Yusuf Nassir (CCM) kura 12,090 - 82%

Calistus Sekibaha (CHADEMA) kura 1722 - 12%

Jumaa Magogo (CUF) kura 400 - 3%


Kura halali ni 14437
Waliopiga ni 14,731
Zilizoharibika ni 294


Endelea kutembelea BLOG ya VIJIMAMBO VYA TANGA upate kujua matokeo ya uchaguzi mkuu kwa viongozi wapya wa mkoa wa Tanga.

No comments:

Post a Comment