BLOG HII IMEDHAMINIWA NA: MWEKASU HOSTEL, PWEZA NIGHT CLUB TANGA, SOPHIA PRODUCTION, AFRICAN DESIGN, BREEZE FM, PANGANI COAST CULTURAL TOURISIM PROGRAMME, NA SAFARI LODGE ANNEX

Monday, November 1, 2010

MATOKEO YA UDIWANI JIMBO LA TANGA!!

KATA ZILIZOCHUKULIWA NA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM)

Kirare
Kiomoni
Central
Duga
Nguvumali
Majengo
Mabawa
Chumbageni na Pongwe.

KATA ZILIZOCHUKULIWA NA CHAMA CHA WANANCHI (CUF)

Mabokweni
Ngamiani Kusini
Mwanzange
Marungu
Tongoni na Chongoleani.

Matokeo yote ni kwa mujibu wa msimamizi mkuu wa jimbo la Tanga Bwana John Gikene. Tuendelee kufuatilia matokeo haya kwa makini.

No comments:

Post a Comment