BLOG HII IMEDHAMINIWA NA: MWEKASU HOSTEL, PWEZA NIGHT CLUB TANGA, SOPHIA PRODUCTION, AFRICAN DESIGN, BREEZE FM, PANGANI COAST CULTURAL TOURISIM PROGRAMME, NA SAFARI LODGE ANNEX

Wednesday, November 10, 2010

JK ALIPOZINDUA UJENZI WA BARABARA YA TANGA HADI HOROHORO!!

JK na Mtendaji Mkuu wa MCC Bwana Daniel Yohannes (kushoto) na Balozi wa Marekani nchini Tanzania Alfonso Lenhardt wakishangili muda mfupi baada ya kuzindua ujenzi wa Barabara ya Tanga hadi Horohoro.

JK na Mtendaji Mkuu wa MCC Bwana Daniel Yohannes(kushoto) na Balozi wa Marekani nchini Alfonso Lenhardt(wapili) wakifunua kitambaa kwenye jiwe la Msingi kuashiria kuzindua rasmi ujenzi wa Barabara ya Tanga-Horohoro.

Baadhi ya wananchi wa eneo la Mikocheni Tanga wakisalimiana na Rais Jakaya Kikwete wakati wa uzinduzi wa ujenzi wa Barabara ya Tanga Horo barabara ya Tanga Horohoro.

No comments:

Post a Comment