BLOG HII IMEDHAMINIWA NA: MWEKASU HOSTEL, PWEZA NIGHT CLUB TANGA, SOPHIA PRODUCTION, AFRICAN DESIGN, BREEZE FM, PANGANI COAST CULTURAL TOURISIM PROGRAMME, NA SAFARI LODGE ANNEX

Tuesday, August 3, 2010

AMEIR SALIM MKALI WA 'MALAVIDAVI' NDANI YA BREEZE FM!!

Mtangazaji mahiri wa redio Breeze Fm ya jijini Tanga Ameir Salim akiwa katika pozz! Amir hutangaza kipindi cha Track To Track ambacho hurushwa na redio hiyo kuanzia saa nane mchana hadi saa kumi. Pia hufanya kipindi cha Ngalawa Ya Huba, kipindi kinachohusu maswala ya mapenzi- kuanzia saa nne usiku hadi saa sita.

Ameir hapa akiwa na moja kati ya maproducer wanaofanya vizuri kwenye game ya muziki wa bongo flava nchini Maneke!! alipokuja kufanya mahojiano nae kwenye kipindi cha Track To Track!

No comments:

Post a Comment