BLOG HII IMEDHAMINIWA NA: MWEKASU HOSTEL, PWEZA NIGHT CLUB TANGA, SOPHIA PRODUCTION, AFRICAN DESIGN, BREEZE FM, PANGANI COAST CULTURAL TOURISIM PROGRAMME, NA SAFARI LODGE ANNEX

Tuesday, August 3, 2010

MOMBO YETU YA LEO!!

Bango la benki ya NMB lililopo maeneo ya mombo.

Hii ni hoteli maarufu sana kwa wale wasafiri wanaoelekea Arusha. Hapa ndipo watu hushuka na kuchimba dawa.

Mchuuzi wa matunda mombo akionyesha swaga zake.

Mombo hiyo!

Mombo kuelekea Korogwe.

Mandhari ya mombo.

Tazama hii picha kwa makini....mm ni huyo mwenye kivuli!

Hii ni sehemu ya kuwekea mafuta, maarufu sana hapa mombo

No comments:

Post a Comment