BLOG HII IMEDHAMINIWA NA: MWEKASU HOSTEL, PWEZA NIGHT CLUB TANGA, SOPHIA PRODUCTION, AFRICAN DESIGN, BREEZE FM, PANGANI COAST CULTURAL TOURISIM PROGRAMME, NA SAFARI LODGE ANNEX

Thursday, August 5, 2010

SIKILIZA 'WAJA LEO WARUDI LEO' REMMY ONGALA- MARIAM TANGA MBALIAtaka yote akosa yote, apita ahangaika asijue la kufanya ... .asijue la kufanya

Mshika mawili yote yamponyoka, apita akebakeba asijiue la kujitetea

Mmmhhh mapenzi yawaka moto, naitika nilikukosea sasa nihurumie

Si ninafikiri zaidi kuliko wewe, nakonda kama mnazi kwa mapenzi nilionayo

Nilalapo nakuota mchana kutwa sili, moyo wanichechemea mwili damu hukauka

Penzii eh ..... mmmh penzi eh x 2 ,

Waaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!

Nasumbuka kwako unionavyo moyo wangu

Wewe ndio dawa yangu eeh x2, Maraimu wangu oooh, Marima mimi eeeh, wangu mwenyewe, sikuchangia na mtu..Tanga mbali ooh, waja leo wondoka leoo

Waja leo warudi leo, Mariamu bibi, mwenzenu sina pumuzi kujizuwia siwezi ohhh

Mwanaume barabara kazi ya mume kwa mke,neno ya mke chumvi kwa mumewe ,neno ya muke kachumbari kwa mumewe,penzi oh penzi,likamung'uma he heh heh,likamung'uma hen heh heh .... mmhhhh

Mdundiko, mdundiko ........ waaaaaa,mdundiko ...... waaaa...mdundiko waaaaaaaaaa!!!

No comments:

Post a Comment