BLOG HII IMEDHAMINIWA NA: MWEKASU HOSTEL, PWEZA NIGHT CLUB TANGA, SOPHIA PRODUCTION, AFRICAN DESIGN, BREEZE FM, PANGANI COAST CULTURAL TOURISIM PROGRAMME, NA SAFARI LODGE ANNEX

Monday, August 16, 2010

ANKO MO BLOGSPOT YATUNUKIWA CHETI!

Juzi niliitwa kwenye ofisi za Five Brothers Entertainment na kutunukiwa cheti cha ushiriki na uandaaji wa Miss Pangani 2010 katika kuhakikisha Miss Tanga 2010 inakamilika. Nilikabidhiwa na mkurugenzi wa kampuni hiyo yenye makazi yake hapa jijini Tanga Bwana Nassor Makau.

Pichani ndio aliyekuwa Miss Pangani 2010 Aziza Khalifa ambapo pia aliibuka Miss Tanga Talent 2010...

No comments:

Post a Comment