BLOG HII IMEDHAMINIWA NA: MWEKASU HOSTEL, PWEZA NIGHT CLUB TANGA, SOPHIA PRODUCTION, AFRICAN DESIGN, BREEZE FM, PANGANI COAST CULTURAL TOURISIM PROGRAMME, NA SAFARI LODGE ANNEX

Tuesday, August 17, 2010

KOKOLIKO MODEL NDIO NYUMBA YA MAVAZI JIJINI TANGA!

Mama Sofia Production akiwa kwenye pozz huku amevalia moja kati ya mavazi anayobuni yeye mwenyewe. Pamoja na maswala ya Video na Audio....mama huyu pia ana kampuni ya mavazi inayojulikana kama KOKOLIKO MODEL yenye maskani yake hapa jijini Tanga.

Miongoni mwa wanamitindo wanaovaa nguo za kampuni hiyo.

Hapa akionyesha baadhi ya nguo ambavo zinapatikana ofisini kwake.

Je unahitaji nguo za asili ya Tanzania, uwe mtanzania na utangaze utanzania ndani na nje ya nchi...?? Wasiliana nao

Mavazi Ya Kiafrika

Masai Style
Khanga Style
Kitenge Style
Batiki Style
Kikoi Style
Vikapu Style

Wapo Tanga Tanzania.

Contact:

E-mail: aish_tz2000@yahoo.com
Phone: +255713510530

No comments:

Post a Comment