BLOG HII IMEDHAMINIWA NA: MWEKASU HOSTEL, PWEZA NIGHT CLUB TANGA, SOPHIA PRODUCTION, AFRICAN DESIGN, BREEZE FM, PANGANI COAST CULTURAL TOURISIM PROGRAMME, NA SAFARI LODGE ANNEX

Friday, August 13, 2010

RUSHA ROHO RESTAURANT MMEFULIA AU BIASHARA NGUMU..???

Mgahawa huu maarufu upo barabara ya Mkwakwani kwenye jengo la Majestic Cinema. Ni kitambo sasa haufanyikazi.......ulipofunguliwa ulidumu kwa miezi kadhaa na ukapata umaarufu mkubwa kwa chakula cha kiswahili.

Upo sehemu nzuri ya biashara kwani eneo hili lote limezungukwa na benki na kutazamana na shule ya sekondari ya Old Tanga. Wadau tunahitaji kujua...je mgahawa huo ndio umekufa ama wamiliki wake wamefulia..???

Hii ni sehemu ya mgahawa huo...viti vikiwa vimebebana kuashiria hakuna huduma yoyote.No comments:

Post a Comment