BLOG HII IMEDHAMINIWA NA: MWEKASU HOSTEL, PWEZA NIGHT CLUB TANGA, SOPHIA PRODUCTION, AFRICAN DESIGN, BREEZE FM, PANGANI COAST CULTURAL TOURISIM PROGRAMME, NA SAFARI LODGE ANNEX

Friday, August 6, 2010

TANGA YETU YA 2010 HII HAPA!!

Tanga Library kama inavyoonekana kwa mbali.

Nilijaribu kuuliza hapa panajengwa nini lakini sikupata jibu...ni kama mgahawa hivi. Ipo karibu na bustani ya library ya tanga.

Katikati ya mji...hapa ni karibu na stendi kuu ya mabasi.

Hili ni duka maarufu sana hapa jijini Tanga, Bata kama linavyoonekana pichani. Humo utapata viatu vya ukweli. Lipo mtaa wa Mkwakwani kwenye jengo la Majestic Cinema.

Njia ya kuelekea Mikanjuni

Karibu na Hoteli ya Malindi.

Makutano ya barabara ya jamaa na karibu na uwanja wa Mkwakwani

Karibu Tanga.....

No comments:

Post a Comment