BLOG HII IMEDHAMINIWA NA: MWEKASU HOSTEL, PWEZA NIGHT CLUB TANGA, SOPHIA PRODUCTION, AFRICAN DESIGN, BREEZE FM, PANGANI COAST CULTURAL TOURISIM PROGRAMME, NA SAFARI LODGE ANNEX

Friday, August 6, 2010

'WABANA PUA' NGOMA YA DULLA WA MICHANO KUTOKA TANGA TOWN

Dulla wa Michano aliyevaa kikoti na shati jeupe ndani akiwa na mshkaji wake Ras Bizzle. Sikiliza wimbo wake wa "WABANA PUA" hapo kulia juu palipoandikwa SIKILIZA TANGA FLAVA HAPA- ambao amemshirikisha Mataaluma. Ngoma imetengenewa Fish Crab Rec chini ya producer Lamar!

Dulla wa Michano hapa akiwa na swahiba wake Man Sasha wakati wakifanya mahojiano kunako Mwambao Fm Radio ya jijini Tanga.

No comments:

Post a Comment