BLOG HII IMEDHAMINIWA NA: MWEKASU HOSTEL, PWEZA NIGHT CLUB TANGA, SOPHIA PRODUCTION, AFRICAN DESIGN, BREEZE FM, PANGANI COAST CULTURAL TOURISIM PROGRAMME, NA SAFARI LODGE ANNEX

Wednesday, August 18, 2010

SLAA AVISHWA KANZU TANGA!

Mgombea Urais wa CHADEMA,Dkt.Wilbroud Slaa kulia akivishwa vazi la asili ya Tanga, kanzu na baragashia alipofanya mkutano wake wa kuomba wadhamini katika uwanja wa Topokana, Mabawa jijini Tanga hivi karibuni, katikati ni Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Tanga, Bw.Mohamed Kinomi, kushoto ni Bw.Wilfred Lwakatare Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Kagera.

Slaa alisema Mtazamo mpya wa fikra za Watanzania hautayumbishwa na maneno ya wachache wabinafsi, lengo letu ni muungano na mshikamano wa kweli katika kuanza mchakato wa kuleta maendeleo ya Watanzania tuliyoyangoja toka uhuru.

No comments:

Post a Comment