BLOG HII IMEDHAMINIWA NA: MWEKASU HOSTEL, PWEZA NIGHT CLUB TANGA, SOPHIA PRODUCTION, AFRICAN DESIGN, BREEZE FM, PANGANI COAST CULTURAL TOURISIM PROGRAMME, NA SAFARI LODGE ANNEX

Tuesday, October 5, 2010

BREEZE FM 'MORE THAN A RADIO'!!

Leo ndani ya redio Breeze Fm 100.6 ya jijini Tanga. Mtangazaji wa kipindi cha Track To Track, Ameir Salim a.k.a Amirado akiendesha kipindi hiko sambamba na Experience Dj jijini Tanga- Dj Rogger Kiss a.k.a Chuo Cha Mafunzo. Breeze Fm ni moja ya redio zinazofanya vizuri jijini Tanga kwa vipindi vyake vya burudani.

No comments:

Post a Comment