BLOG HII IMEDHAMINIWA NA: MWEKASU HOSTEL, PWEZA NIGHT CLUB TANGA, SOPHIA PRODUCTION, AFRICAN DESIGN, BREEZE FM, PANGANI COAST CULTURAL TOURISIM PROGRAMME, NA SAFARI LODGE ANNEX

Friday, October 15, 2010

Q CHILLAH LIVE NDANI YA TANGA TAREHE 29!!Msanii nguli wa muziki wa Bongo Flava nchini Q Chillah anatarajiwa kufanya show ya ukweli siku ya ijumaa ya tarehe 29 hapa jijini Tanga, show itafanyika kwenye hoteli ya Tanga Beach Resort. Kaa tayari mkazi wa Tanga!!

No comments:

Post a Comment