BLOG HII IMEDHAMINIWA NA: MWEKASU HOSTEL, PWEZA NIGHT CLUB TANGA, SOPHIA PRODUCTION, AFRICAN DESIGN, BREEZE FM, PANGANI COAST CULTURAL TOURISIM PROGRAMME, NA SAFARI LODGE ANNEX

Monday, October 4, 2010

LEO NI SIKU YANGU YA KUZALIWA!

Kwanza ningependa kumshukuru mungu kwa kuweza kunifikisha siku kama ya leo, hakika ni mapenzi yake yametimia. Inshaalah, naomba mungu aniongezee uhai na uzima. Nawashukuru wazazi wangu kwa kunilea vyema mpaka leo. Endeleeni kufurahia VIJIMAMBO VYA TANGA!

1 comment:

  1. happy b.day kaka,mungu akupe uzima na afya ...ameen ameen....abdul kitauro

    ReplyDelete