BLOG HII IMEDHAMINIWA NA: MWEKASU HOSTEL, PWEZA NIGHT CLUB TANGA, SOPHIA PRODUCTION, AFRICAN DESIGN, BREEZE FM, PANGANI COAST CULTURAL TOURISIM PROGRAMME, NA SAFARI LODGE ANNEX

Wednesday, October 13, 2010

WIMBO MPYA NDANI YA BLOG!! "BABY RUDI" WA ADO MAN

Umetengenezwa na Producer mahiri kutoka jijini Tanga, Andrew ambaye kazi zake anazifanyia pale Hufruma Records. Wimbo unaitwa "Baby Rudi" wa Ado Man. Ni RnB ya ukweli kutoka kwa kijana huyu ambaye anatokea Tanga. Usikilize wimbo huo hapo juu kulia palipoandikwa SIKILIZA TANGA FLAVA HAPA!

No comments:

Post a Comment