BLOG HII IMEDHAMINIWA NA: MWEKASU HOSTEL, PWEZA NIGHT CLUB TANGA, SOPHIA PRODUCTION, AFRICAN DESIGN, BREEZE FM, PANGANI COAST CULTURAL TOURISIM PROGRAMME, NA SAFARI LODGE ANNEX

Tuesday, October 5, 2010

"TASWIRA"- MWANDEI FT MWIJU

Wimbo mpya kutoka kwa msanii anayetokea jijini Tanga, Mwandei akiwa amemshirikisha Mwiju. Wimbo unaitwa 'Taswira', umetengenezwa pale Mj Records na producer akiwa Marco Chali. Usikilize wimbo huo hapo juu kulia palipoandikwa SIKILIZA TANGA FLAVA HAPA!

No comments:

Post a Comment