BLOG HII IMEDHAMINIWA NA: MWEKASU HOSTEL, PWEZA NIGHT CLUB TANGA, SOPHIA PRODUCTION, AFRICAN DESIGN, BREEZE FM, PANGANI COAST CULTURAL TOURISIM PROGRAMME, NA SAFARI LODGE ANNEX

Tuesday, October 26, 2010

SAM WA UKWELI, OFFSIDE TRICK NA DR LEADER JUKWAA MOJA TANGA!!Msanii wa Bongo Flava Sam Wa Ukweli anayetamba na wimbo wake wa Sina , anatarajiwa kuungana na wasanii wengine nguli kutoka Zanzibar Offside Trick ambao wanafanya vizuri katika mambo ya miduara katika Show ya usiku mmoja jijini Tanga itakayofanyika katika Club mashuhuri ya La Grand La Casa Chica siku ya jumamosi ya tarehe 6/11/2010.Show hiyo ambayo imeandaliwa na Screen Masters Entertainment, itakuw ana kiingilio cha 10000 kwa wanaume na 7000 kwa akina dada. Hata hivyo Dr Leader msanii kutokea Tanga nae ametajwa kuwepo katika show hiyo..Dr Leader kwa sasa anatamba na wimbo wake wa Macho Kodo.

No comments:

Post a Comment