BLOG HII IMEDHAMINIWA NA: MWEKASU HOSTEL, PWEZA NIGHT CLUB TANGA, SOPHIA PRODUCTION, AFRICAN DESIGN, BREEZE FM, PANGANI COAST CULTURAL TOURISIM PROGRAMME, NA SAFARI LODGE ANNEX

Friday, October 29, 2010

Q CHILLAH LIVE LEO NDANI YA TANGA BEACH RESTORT!Msanii wa bongo flava nchini anayetokea Tanga, Q Chillah anatarajiwa kufanya show ya ukweli usiku wa leo kunako hoteli ya Tanga Beach Resort iliyoko maeneo ya Sahare. Q Chillah atafanya onyesho la aina yake kwani atafanya Live Band!! Tukutane huko badae wadau!

Q Chillah akiwa katika Pozz

1 comment:

  1. Q Chillah Tuko pamoja wetu, Tanga oyeeeeee, chillah juuuuuu

    ReplyDelete