BLOG HII IMEDHAMINIWA NA: MWEKASU HOSTEL, PWEZA NIGHT CLUB TANGA, SOPHIA PRODUCTION, AFRICAN DESIGN, BREEZE FM, PANGANI COAST CULTURAL TOURISIM PROGRAMME, NA SAFARI LODGE ANNEX

Monday, September 13, 2010

TANGA KUNANI MISS TANZANIA..????

Jally Murey ni mshindi wa pili wa Miss Tanga 2010 ndio alikuwa anauwakilisha mkoa wa Tanga katika shindano la kumsaka mnyange wa Miss Tanzania kwa mwaka huu. Mrembo huyo ameshindwa kufurukuta katika kimyang'anyiro hicho na badala yake taji limekwenda kwa Geneviev Emanuel kutoka kitongoji cha Temeke.

Wewe unaonaje mdau...? Toka mwaka 1996 mkoa wa Tanga ndio uliwahi kushika nafasi ya juu katika mchakato huu wa Miss Tanzania kupitia mrembo Mona Koja baada ya kushika nafasi ya tatu. Je tunapanda au tunashuka.??

No comments:

Post a Comment