BLOG HII IMEDHAMINIWA NA: MWEKASU HOSTEL, PWEZA NIGHT CLUB TANGA, SOPHIA PRODUCTION, AFRICAN DESIGN, BREEZE FM, PANGANI COAST CULTURAL TOURISIM PROGRAMME, NA SAFARI LODGE ANNEX

Wednesday, September 8, 2010

'INTERVIEW'- WIMBO MPYA WA MR EBBO!

"Eti kaka umesema unaitwa Mwanamboka au Mwanakombo..???" ni sehemu ya introduction ya wimbo wa Mr Ebbo unaoitwa 'Interview'...aisee, wimbo una vichekesho huo!!! Umetengenezwa pale Motika Record chini yake mwenyewe Mr Ebbo.

Usikilize wimbo huo hapo kulia pembeni palipoandikwa SIKILIZA TANGA FLAVA HAPA! Wimbo mwengine uliongia bloggini ni 'Mnaonaje' wa Ommy G. Sikiliza nyimbo hizo kutoka Tanga Town!

No comments:

Post a Comment