BLOG HII IMEDHAMINIWA NA: MWEKASU HOSTEL, PWEZA NIGHT CLUB TANGA, SOPHIA PRODUCTION, AFRICAN DESIGN, BREEZE FM, PANGANI COAST CULTURAL TOURISIM PROGRAMME, NA SAFARI LODGE ANNEX

Tuesday, September 21, 2010

UNAIKUMBUKA 'NAFASI NYENGINE' YA PARKLANE..??Kundi la Parklane lilikuwa linaundwa na wasanii wawili, Suma Lee pamoja na Cp kutoka jijini Tanga. Wasanii hawa hivi sasa wametengana na kila mmoja anafanya kazi kama solo artist! Wimbo mwengine ambao uliwaweka vizuri sana kwenye ramani ya muziki wa bongo flava ni 'Aisha' na 'Semeni Hoo'

No comments:

Post a Comment