BLOG HII IMEDHAMINIWA NA: MWEKASU HOSTEL, PWEZA NIGHT CLUB TANGA, SOPHIA PRODUCTION, AFRICAN DESIGN, BREEZE FM, PANGANI COAST CULTURAL TOURISIM PROGRAMME, NA SAFARI LODGE ANNEX

Thursday, September 9, 2010

VICHWA MAKINI!! SALAMU ZA IDDI KWA WADAU WA VIJIMAMBO VYA TANGA

Wa kwanza ni Hassan Bumbuli, Ankal Michuzi katikati na mimi (Anko Mo)...katika harakati za kuendesha libeneke. Kwa pamoja tunawatakia sikukuu njema ya Idd Mubarak panapo majaaliwa mwezi utakapoandama. Inshaalah!

No comments:

Post a Comment