BLOG HII IMEDHAMINIWA NA: MWEKASU HOSTEL, PWEZA NIGHT CLUB TANGA, SOPHIA PRODUCTION, AFRICAN DESIGN, BREEZE FM, PANGANI COAST CULTURAL TOURISIM PROGRAMME, NA SAFARI LODGE ANNEX

Tuesday, September 14, 2010

UJUMBE KUTOKA KWA MDAU WA VIJIMAMBO VYA TANGA!

Mambo vipi anko Mo..nimefurahishwa sana na blog yako. Mi ni mazi wa Tanga-Sahare...kwa sasa ninasoma UKraine.. Ningependa uwatangazie wale wote wenye nia na haja ya kupata chuo Ukraine basi wawasiliane nasi kupitia barua pepe: themcadolar@gmail.com

No comments:

Post a Comment