BLOG HII IMEDHAMINIWA NA: MWEKASU HOSTEL, PWEZA NIGHT CLUB TANGA, SOPHIA PRODUCTION, AFRICAN DESIGN, BREEZE FM, PANGANI COAST CULTURAL TOURISIM PROGRAMME, NA SAFARI LODGE ANNEX

Monday, September 20, 2010

LEO MCHANA KATIKA PITA PITA ZANGU TANGA TOWN!!

Nilikutana na hii......Msanii wa muziki wa Bongo Flava kutokea jijini Tanga anaitwa D Baros akifanya shooting ya wimbo wake "Dada Mtangazaji" alioutengeneza pale Huruma Record producer akiwa Andrew. Video ya wimbo huo unatengenezwa na Jeff Production ya jijini hapa.

D Baros akiimba kwa hisia kali wakati wa shooting.

Huyu ndio Jeff maarufu kama Mkubwa Jeff, ndio mmliki wa Jeff Video Productio pamoja na Jeff Studio pale Kisosora. Akiwa mzigoni!!

No comments:

Post a Comment