BLOG HII IMEDHAMINIWA NA: MWEKASU HOSTEL, PWEZA NIGHT CLUB TANGA, SOPHIA PRODUCTION, AFRICAN DESIGN, BREEZE FM, PANGANI COAST CULTURAL TOURISIM PROGRAMME, NA SAFARI LODGE ANNEX

Wednesday, September 1, 2010

NIMEPENDA HUU UZALENDO!!!

Katika pita pita zangu nilikutana na hii gari.....kwa kweli nilipenda vile watanzania wamekuwa wazalendo na wasanii wao wa nyumbani! Tofauti na kipindi cha nyuma, magari, saloon za kuime hukuta zimeandikwa majina ya watu maarufu wa nje kama vile 2 Pac, 50 Cent, Michael Jordan na Mike Tyson- Hii gari imeandikwa jina la msanii maarufu hapa nchini Belle 9 hapo juu na pembeni umeandikwa wimbo wake wa "Sumu Ya Penzi" safi sana!!!

Sehemu ya juu ilipoandikwa jina la msanii huoyo

Sehemu ya ubavu...SUMU YA PENZI

Costa hii hufanya shughuli zake za kusafirisha abiria kutoka stendi kuu ya Tanga kuelekea Kichangani njia ya Saruji.

No comments:

Post a Comment