BLOG HII IMEDHAMINIWA NA: MWEKASU HOSTEL, PWEZA NIGHT CLUB TANGA, SOPHIA PRODUCTION, AFRICAN DESIGN, BREEZE FM, PANGANI COAST CULTURAL TOURISIM PROGRAMME, NA SAFARI LODGE ANNEX

Monday, September 6, 2010

NYIMBO ZITAKAZOINGIA NDANI YA BLOG WIKI HII!!


Nyimbo ambazo zinatarajia kuingia kwenye utambulisho wiki hii ni 'Interview' wa Mr Ebbo, 'Mnaonaje' wa Ommy G, 'Nifate Mimi' wa Omega Boys, 'Umeachana nae' wa Sady Q pamoja na 'Taswira' wa Mwandei...nyimbo zote hizi utapata kuzisikiliza hapo pembeni kulia palipoandikwa SIKILIZA TANGA FLAVA HAPA! Kaa tayari.

No comments:

Post a Comment