BLOG HII IMEDHAMINIWA NA: MWEKASU HOSTEL, PWEZA NIGHT CLUB TANGA, SOPHIA PRODUCTION, AFRICAN DESIGN, BREEZE FM, PANGANI COAST CULTURAL TOURISIM PROGRAMME, NA SAFARI LODGE ANNEX

Thursday, September 16, 2010

JANUARY MAKAMBA- MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA BUMBULI MKOANI TANGA KWA TIKETI YA CCM!

Mtoto wa Katibu Mkuu wa CCM, Yusuf Makamba, ambaye pia ni Mwandishi wa Hotuba za Rais Jakaya Kikwete (Mwenyekiti wa CCM) January Makamba ndio mgombea ubunge katika Jimbo la Bumbuli mkoani Tanga kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi.No comments:

Post a Comment